Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Master Jay afunguka "Vijana wa siku hizi wanavimba" (video+)

Video Archive
Thu, 9 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni September 8, 2021 umefanyika uzinduzi wa msimu wa kumi na mbili wa Mashindano ya Bongo Star Search. Sasa miongoni mwa Majaji waliozungumza katika hafla hiyo ni Master Jay ambapo kaelezea mienendo ama tabia za vijana wa karne hii ya sasa.

Ni September 8, 2021 umefanyika uzinduzi wa msimu wa kumi na mbili wa Mashindano ya Bongo Star Search. Sasa miongoni mwa Majaji waliozungumza katika hafla hiyo ni Master Jay ambapo kaelezea mienendo ama tabia za vijana wa karne hii ya sasa. “Lazima ufanye kazi kwa bidii ujitume ila vijana wa siku hizi wapo tayari kufeki mafanikio kwenye mitandao ya kijamii, maisha sio marahisi”- Master Jay “Vijana wa siku sizi wanapenda sana mremko, kuvimba haraka sana hususani kufeki mafanikio kwenye mitandao ya kijamii”- Master Jay

Chanzo: millardayo.com