Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo aikamata trending kwa saa 5 tu

Mariooo Toto Bad Marioo aikamata trending kwa saa 5 tu

Thu, 25 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Marioo Kupitia wimbo wake wa "Hakuna Matata'" ameikamata Trending nafasi ya Kwanza mjini YouTube ndani ya Saa 5 tu tangu Video ya Wimbo huo kuachiliwa.

Mwanamuziki Marioo Kupitia wimbo wake wa "Hakuna Matata'" ameikamata Trending nafasi ya Kwanza mjini YouTube ndani ya Saa 5 tu tangu Video ya Wimbo huo kuachiliwa. Marioo tangu kuachia Audio ya Wimbo huo ilifanya vizuri ndani na nje ya Mipaka ya Tanzania kwani Audio tu ya Wimbo huo YouTube Ina Views Milion 1.8, Visualized Video ikiwa na Views Milion 3.7 na Sasa Official Video Ina Saa 9 Ina Views zaidi ya Laki Moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live