Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Mama yangu, kabisa pole" Rotimi azungumza Kiswahili, afundishwa na Vanessa (+video)

Video Archive
Tue, 15 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Mpenzi wa staa wa bongo Vanessa Mdee, Rotimi ameonekana akijifunza kuongea lugha ya Kiswahili ambapo alikuwa anafundishwa baadhi ya maneno na mpenzi wake huyo.

Mpenzi wa staa wa bongo Vanessa Mdee, Rotimi ameonekana akijifunza kuongea lugha ya Kiswahili ambapo alikuwa anafundishwa baadhi ya maneno na mpenzi wake huyo. Rotimi ameonekana akifundishwa kutamka maneno hayo kupitia Insta Story ya Vanessa Mdee ambapo alikuwa anamwambia ataje maneno ya Kiswahili kama “Ahh Mama yangu, jamaani kabisa polee “.

Chanzo: millardayo.com