Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lil Wayne aingia penzini na Mpishi wake binafsi

Lil Ayne X Leah Lil Wayne aingia penzini na Mpishi wake binafsi

Mon, 21 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa nguli wa nchini Marekani Lil Wayne @liltunechi ameingia kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na mpishi wake binafsi Leah Angelie Murphy @leehah88 ambapo imetokea ghafla baada ta mpishi huyo kutangaza kuajiriwa na Lil Wayne na kuanza kuishi naye huko Los Angeles, lakini pia hii ni baada ya miaka miwili kupita baada ya Morghan Medlock ambae alikuwa mpishi wake kudai alifukuzwa kimakosa.

Rapa nguli wa nchini Marekani Lil Wayne @liltunechi ameingia kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na mpishi wake binafsi Leah Angelie Murphy @leehah88 ambapo imetokea ghafla baada ta mpishi huyo kutangaza kuajiriwa na Lil Wayne na kuanza kuishi naye huko Los Angeles, lakini pia hii ni baada ya miaka miwili kupita baada ya Morghan Medlock ambae alikuwa mpishi wake kudai alifukuzwa kimakosa. @liltunechi amekuwa akitoka kimahusiano na wadada maarufu huko nyuma kama vile Nick Minaj, Amber Rose, Lauren London na wengine kibao ambapo hadi hivi sasa Lil Wayne ana watoto wanne wakizaliwa na wanawake tofauti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live