Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Lijue Gereza Dogo kuliko yote Duniani

Gereza Dogo Duniani Lijue Gereza Dogo kuliko yote Duniani

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kisiwa cha Sark, ambacho ni kidogo zaidi kati ya Visiwa vya Channel vilivyo kati ya Ufaransa na Uingereza, ni maskani ya Gereza dogo zaidi duniani (Sark Prison) ambalo bado linatumika.

Hakuna magari, hakuna barabara wala hakuna taa za barabarani kwenye Kisiwa hicho, lakini kuna gereza dogo lililoanza kutumika mwaka 1856 lenye uwezo wa kuhifadhi wafungwa wawili tu.

Licha ya udogo wa gereza hilo, lakini iliwachukua wenyeji wa eneo hilo miaka 20 kulijenga kutokana na ukata wa fedha.

Kisiwa hicho kwasasa kina wakazi 562.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live