Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa mara ya kwanza Polisi wafunguka video ya Rayvanny na Paula

Video Archive
Sat, 6 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Kesi bado inaendelea ipo chini ya upelelezi na haujakamilika kwa sababu ni upelelezi ambao sio wa mtu mmoja unahitaji wakati mwingine kupata expert evidence sio tu upelelezi wa Polisi Oysterbay itahusisha watu wengine kutoka nje ya Ofisi ya RCO.

“Mpaka sasa hivi bado mapema hadi tutakapokamilisha pande zote zinazohusika na Upelelezi, suala la muda ni vigumu kusema kesi na kesi inategemeana unaweza kukuta kuna mlolongo wa simu kwahiyo inahitaji kufatilia’- Polisi

‘Lakini hadi sasa hivi hakuna tunayemshikilia wote walishadhaminiwa wakati uchunguzi unaendelea, hadi sasa tulionao ni wale wale wawili pamoja na mtoto wake Kajala kwahiyo wapo watatu ambapo uchunguzi upo katika simu zao,” Kaimu Kamanda wa Polisi Kinondoni ACP, Japhet Kibona’- Polisi

Chanzo: millardayo.com