Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kontawa: Valentine sina kitu, siwezi kutoboka

Video Archive
Mon, 13 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni siku moja tu imebaki kufikia siku ya wapendanao, Valentine, upo kwenye mahusiano?, mipango yako ni ipi kwa valentine hii?

Rapper Kontawa anaamini Valentine ni mambo ya kutumia hela tu kwahiyo hana mipango

Akihojiwa Rapa Kontawa ametoa mtazamo wake kuhusiana na siku hii ya wapendanao ya Valentine;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live