Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Koffi aitwa kuhojiwa kisa kulikosoa Jeshi la DRC

Koffi Lomomide Koffi aitwa kuhojiwa kisa kulikosoa Jeshi la DRC

Fri, 12 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Muziki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Koffi Olomide, ameitwa kutoa maelezo kuhusu kuhoji kuhusu vikosi vya DRC katika vita inayoendelea Mashariki mwa nchi hiyo.

Akihojiwa kupitia runinga ya Taifa baada ya kuachiwa wimbo wa kuhamasisha amani Kivu Kaskazini ambapo amesema ni kama vikosi hivyo vimeshindwa kupambana na wasi wa M23.

Bodi ya Muziki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemtaka Mwanamuziki huyo kutoa maelezo kuhusu mahojiano na runinga ya taifa ya DRC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live