Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kingine kizuri wamekifanya Rayvanny na Jason Derulo Marekani

273 Rayvanny 20170805 00011 363x400 363x400 TZW

Sun, 17 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Msanii Rayvanny kutokea WCB ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania wanaoitambulisha vyema sanaa ya Tanzania ikiwemo ndani na nje ya nchi. Rayvanny ameamua kutuonyesha kwamba yupo kwenye project ya kufanya kazi na msanii Jason Derulo kutokea nchini Marekani.

Rayvanny amelithibitisha hili kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya kupost picha akiwa na Jason Derulo na kuandika “Nashukuru sana kaka yangu jay kwa hii zawadi ya kipekee, ina maana kubwa sana kwangu kushiriki katika nyimbo zako”

Kupitia hiki alichokipost Rayvanny kupitia akaunti yake instagram inawezekana akawa ndiye msanii wa kwanza kutokea Tanzania kushirikishwa na msanii wa nje.

Rayvanny anazidi kupasua anga kwa maana hadi sasa yeye ndio msanii wa kwanza na pekee wa Tanzania aliyewahi kushinda tuzo ya BET awards.

AUDIO:Waka ya Diamond ft Rick Ross imevunja rekodi 2017

 

 

Chanzo: millardayo.com