Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kampuni na ubalozi wasitisha mkataba na Kipanya kisa tuhuma za Mwijaku

Mwijaku Kipanya Zs Kampuni na ubalozi wasitisha mkataba na Kipanya kisa tuhuma za Mwijaku

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wanasheria wanaomwakilisha Masoud Kipanya, wamewaambia waandishi wa habari kwamba kwene barua walitomuandikia Mwijaku, walimueleza kuwa anatakiwa kumlipa mteja wao kiasi cha shilingi bilioni tano kama fidia kwa kumchafua na kutoa tuhuma za uongo dhidi yake.

Wakili Aloyce Komba kutoka kwa kampuni ya uwakili ya Haki Kwanza Advocates anayemwakilisha Kipanya kwa niaba ya mawakili wenzake, wamezungumza na waandishi wa habari na kueleza tuhuma alizozitoa Mwijaku na hatua walizozichukua mpaka sasa.

Mawakili hao wamesema wanalipeleka suala hilo mahakamani ambapo Mwijaku anatakiwa kuomba radhi, kumsafisha na kumlipa fidia ya shilingi bilioni 5 mteja wao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live