Menu ›
Burudani
Mon, 7 Aug 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Kolabo ya Juma Jux na Diamond Platnumz Enjoy, Video rasmi imeachiwa rasmi leo Agosti 7.
Kolabo ya Juma Jux na Diamond Platnumz Enjoy, Video rasmi imeachiwa rasmi leo Agosti 7. Nyimbo hiyo ambayo imefanya vyema upande wa Audio ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki hasa baada ya taarifa za awali kuwa material ya Video hiyo yalifutika.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live