Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joe Biden ni mzee sana kuongoza Marekani - Meek Mill

Meek Mill Joe Biden ni mzee sana kuongoza Marekani - Meek Mill

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Meek Mill  King Of Philadelphia ‘Philly’amemwambia Rais wa 46 wa Marekani Joe Biden mwenye miaka 81 kuwa ni mzee sana kuongoza Taifa hilo.

kupitia ukurasa wake wa X Meek Mill ametuma ujumbe huo  akiandika:

“Joe Biden ni mzee sana kuwa rais wetu kwa heshima, Kitu gani kinaendelea katika mfumo wa Marekani ambao unasukuma haya yote kwamba ni sawa kuamini tunachokiona”.

Meek Mill amefunguka hilo baada ya Joe Biden kuwaambia ripota kuwa tayari ameshawatumia ujumbe Iran kwa kile kinachoendelea lakini Iran bado wameishambulia Ubalozi mdogo wa Marekani na Uwanja wa Ndege Kaskazini mwa Iraq.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live