Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jibu la Nisher kuhusu kufanya kazi na WCB (+video)

Video Archive
Wed, 21 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mara baada ya kuonekana wakiwa pamoja na wasanii wa WCB, Director Nisher amejibu iwapo kuna kazi zinakuja kati yao.



Nisher ameiambia Bongo5 bado ni mapema kuzungumzia hilo kwa sasa ila kuna kazi nyingi zinakuja.

“Hiyo siwezi kusema isipokuwa kitu ambacho nakumbuka nilikuwa na show nilikutana na watu kibao kama kina Rich Mavoko, Harmonize, Ray C, AY na Fid Q pia, kwa hiyo kuhusiana na kazi zinazokuja siwezi kuongelea sana japokuwa kuna kazi kibao zinakuja,” amesema Nisher.

Video ya Dogo Janja ‘Wayu Wayu’ ambayo inafanya vizuri kwa sasa ni moja video ambazo Nisher kwa mwaka huu.

Chanzo: bongo5.com