Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jarida la Grazia UK walimdhihaki Lupita Nyong’o, Vogue wamtumia vyema

92 5a2f7a4d48e19

Tue, 12 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Ni mwezi mmoja sasa umepita toka mwanadada Lupita Nyong’o alijie juu jarida la Grazia kwa kuonyesha ubaguzi dhidi yake na watu weusi, hata hivyo Jarida la Vogue nalo likapata nafasi kwa kumtumia mrembo huyo lipamba kava kwa mavazi yake ya kumeremetea.

Mrembo huyo mwenye asili ya Kenya na Mexico amepata shavu hilo la kukava jarida nguli dunilani la Vogue linaloyatajiwa kutola mwanzoni mwa mwaka na huku akitarajiwa kuzuongelea masuala ya mashusiano, sanaa yake pamoja na masuala ya unyanyasaji wa kingono ambao aliripoti kufanyiwa na mtayarishaji mkubwa wa filamu duniani Harvey Weinstein.

Picha katika jarida hilo:

Chanzo: bongo5.com