Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

J.Lo, Ben Affleck wameachana rasmi

Jennifer Lopez After The Car Door Slamming Video Might Be Worried About Her Split With Ben Affleck 0 J.Lo, Ben Affleck wameachana rasmi

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Jinamizi La Kuvunjika Ndoa Za watu maarufu duniani likiwa linaendelea , JLO na Ben Affleck wameachana rasmi na Tayari Kila mtu ameenda njia zake na sasa Nyumba walionunua inatarajiwa kuingizwa sokoni na kuuzwa , wenyewe walikuwa waniita 'Dream House '.

Wawili hawa wamekuwa na On and Off nyingi na walirudiana na kuoana 2022 na sasa wameelekea ktk hatua za talaka kwa sababu zinazodaiwa 'Kushindwa kubadilishana' Ben haweza Mbadilisha JLO na JLO hawezi M control Ben hivyo wanapendana Yes but wameamua kila mtu aende Njia zake amesema mtu wao wa karibu ambae ni shushushu wao akiteta umbea wake ..

lakini Pia Ben ameamua ku focus na Kazi zake na watoto wake na JLO yuko busy na Maisha Yake Ya Ki star.

tetesi hizi zilianza mara baada Ya JLO kutoonekana ktk Met Gala na Mume wake huyo na chanzo kikidaiwa Ben alikuwa anashoot movie ila ukweli hakuwa ana shoot movie bali alikuwa tayari ameshahama walipokuwa wanaishi Pamoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live