Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Irene Uwoya amvaa mama aliyemkosoa kuwa hafai kuwa mchungaji

Irene Uwoya Amvaa Mama Aliyemkosoa Kuwa Hafai Kuwa Mchungaji.png Irene Uwoya amvaa mama aliyemkosoa kuwa hafai kuwa mchungaji

Mon, 26 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa Filamu Tanzania ambaye kwa sasa amwgeukia kwenye kumtumikia Mungu Irene Uwoya amemvaa mama Mmoja ambaye jina lake halijafahamila baada ya mama hiyo kudai kuwa ni mapema sana Irene kufungua kanisa na alipaswa kupikwa kwanza kabla ya yote hayo

Mama huyo amedai Irene ametoka kwenye kumtumikia shetani hivyo asifanye ukristu kuwa rahisi kwa kufungua kanisa alipaswa aoshwe kwanza ndio aendelee na mambo mengine

Kwa upande wa UWOYA amemjibu mama huyo kuwa mama huyo anaangamia kwa kukosa maarifa.

Lakini pia amesema kuwa hajaitwa na mwanadamu kwenye utumishi ila Mungu ndiye amemwita

Chanzo: www.tanzaniaweb.live