Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inasikitisha, Huyu ndie Joslin alietamba na kundi la Wakali Kwanza (+Video)

Video Archive
Fri, 17 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii alietamba na Kundi la Wakali Kwanza, Joslin amekutwa katika hali ambayo wengi wamehisi amejiingiza katika Matumizi ya Madawa ya kulevya.

Joslin aliewahi kutamba na kundi la Wakali Kwanza sambamba na Makamua na Qjay bado anatamani kufanya vyema katika game ya muziki wa Bongofleva.

Msikilize kwa undani akifanya mahojiano;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live