Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibrah kafunguka bifu na Rayvanny, kumtaka Fayma "Brand yangu kubwa kuliko yeye"

Video Archive
Mon, 23 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Msanii kutokea lebo ya Konde Gang, Ibrah ambae time hii amekaa kwenye Ayo TV & Millardayo.com kuzungumza kwa mara ya kwanza bifu inayoendelea kati yake na Rayvanny pamoja na kumpost Fayma.Akizungumza katika mahojiano hayo aliulizwa kuhusu kumpost Fayma na kusema.

“kwa upande wa mimi kumpost Fayma ni Mwanamke wa kitanzania na nimempost tu kama dada yangu nawala hatuna mazoea na wala hatuna Undugu”- Ibrah“

Kwahiyo nilipita Instagram nikaona picha yake kali nikaipost na wala sijaandika kitu kibaya niliandika Mama G kwani ana Mtoto anaitwa G sio kama nimeandika labda ni Mpenzi wangu labda namtaka hapana”- Ibrah

Chanzo: millardayo.com