Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndo binadamu mwenye Tattoo nyingi zaidi Duniani

Tattoo Msz Huyu ndo binadamu mwenye Tattoo nyingi zaidi Duniani

Tue, 27 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanajeshi wa zamani wa jeshi la Marekani, Esperance Fuerzina, ametangazwa kuwa mwanamke mwenye Tattoo nyingi zaidi na kuingizwa kwenye kitabu cha rekodi za dunia za Guinness.

Imemchukua miaka 10 kuchora zaidi ya 99.98% ya mwili wake michoro mbalimbali na bado hajatosheka anataka kuendelea zaidi.

Tatoo zake huanzia kichwani hadi kwenye nyayo za miguu bila kusahau kope, mboni za macho, fizi na hata ulimi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live