Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Huyu ndio Mwanamke mwenye kilo 25 na anatamani kukonda zaidi

Baby Tingiza Huyu ndio Mwanamke mwenye kilo 25 na anatamani kukonda zaidi

Fri, 12 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke huyu wa kichina mwenye uzito wa kilo 25 tu, anafahamika zaidi kwa jina la 'Baby Tingzi' na amejipatia umaarufu baada ya kuonyesha mwili wake mwembamba wa kushangaza mtandaoni huku akidai anataka kupungua zaidi ya hapo.

Mwanamke huyu wa kichina mwenye uzito wa kilo 25 tu, anafahamika zaidi kwa jina la 'Baby Tingzi' na amejipatia umaarufu baada ya kuonyesha mwili wake mwembamba wa kushangaza mtandaoni huku akidai anataka kupungua zaidi ya hapo. Wengi wa mashabiki zake wamekuwa wakionyesha wasiwasi wao juu ya afya yake lakini mwenyewe hupuuza na kudai anapendelea kuwa mwembamba na kuongeza kuwa muonekano wake huo ambao kwa sehemu kubwa unaonyesha mifupa haumuogopeshi lolote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live