Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Hizi ndio nchi zenye Mabilionea wengi Duniani, nchi yako ina nani?

Richest Indians Hizi ndio nchi zenye Mabilionea wengi Duniani, nchi yako ina nani?

Fri, 21 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mwaka huu 2024, rekodi zinaonyesha kuna watu 2,781 kwenye orodha ya Mabilionea ya Dunia iliyochapishwa na Forbes.

Mabilionea hao wanatokea kwenye nchi 78, huku Marekani ikiongoza kwa kuwa nchi yenye mabilionea wengi zaidi.

Marekani ina jumla ya mabilionea 813 ambao kwa pamoja wana thamani ya dola trilioni 5.7.

Orodha kamili na nchi hizo;

1. Marekani Jumla ya mabilionea: 813 Mtu tajiri zaidi: Elon Musk, $ 195 bilioni

2. China Jumla ya mabilionea: 406 Mtu tajiri zaidi: Zhong Shanshan, $ 62.3 bilioni

3. India Jumla ya mabilionea: 200 Mtu tajiri zaidi: Mukesh Ambani, $116 bilioni

4. Ujerumani Jumla ya mabilionea: 132 Mtu tajiri zaidi: Klaus-Michael Kuehne, $39.2 bilioni

5. Urusi Jumla ya mabilionea: 120 Mtu tajiri zaidi: Vagit Alekperov, $ 28.6 bilioni

6. Italia Jumla ya mabilionea: 73 Mtu tajiri zaidi: Giovanni Ferrero, $ 43.8 bilioni

7. Brazili Jumla ya mabilionea: 69 Mtu tajiri zaidi: Eduardo Saverin, $28 bilioni

8. Kanada Jumla ya mabilionea: 67 Mtu tajiri zaidi: David Thomson na familia, $ 67.8 bilioni

9. Hong Kong* Jumla ya mabilionea: 67 Mtu tajiri zaidi: Li Ka-shing, $37.3 bilioni

10. Uingereza Jumla ya mabilionea: 55 Mtu tajiri zaidi: Michael Platt, $ 18 bilioni

Chanzo: www.tanzaniaweb.live