Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndio sababu ya Rapa Kontawa kuandika ngoma ya "Champion" (+Video)

Video Archive
Thu, 26 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa kontawa ametusanua kilichomfanya aandike wimbo wa “CHAMPION” ambao umebadilisha maisha yake kwa asilimia kubwa sana tangu usikike kwenye masikio ya Watanzania.

Rapa kontawa ametusanua kilichomfanya aandike wimbo wa “CHAMPION” ambao umebadilisha maisha yake kwa asilimia kubwa sana tangu usikike kwenye masikio ya Watanzania. Kupitia Dozen Selection, Kontawa amesema alipata wazo la kuandika ngoma hiyo baada ya kwenda kwenye show moja mkoani, ambapo akiwa Jukwaani alipata shangwe la ajabu na kumfanya ajitafakari ukubwa wake!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live