Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Hii ndio nchi ambayo usafiri wa umma ni bure

Luxemburg Hii ndio nchi ambayo usafiri wa umma ni bure

Wed, 12 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020, njia zote za usafiri wa umma nchini Luxemburg, kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa.

Ilianza rasmi tarehe 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, kwa maneno mengine hauhitaji kununua tiketi kwa ajili ya usafiri wa ndani.

Ikiwa na eneo la kilomita za mraba 2,586, Luxembourg ni nchi ya saba kwa udogo barani Ulaya ikiwa na idadi ya watu 672,050.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live