Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Haya mambo Grand P anajitakia mwenyewe tu

Eudoxie Yao Grand P F14a Grand P anajitakia mwenyewe tu

Tue, 16 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa wa muziki nchini Guinea, Grand P ambaye ana tatizo la udumavu wa mwili, lakini anashangaza wengi kwa kupenda kuchukua wanawake wenye miili mikubwa kwa zaidi ya asilimia 100 ukilinganisha mwili wake.

Grand P alipogombana na mpenzi wake Eudoxie Yao akimtuhumu mwanamuziki kutoka Kongo, Roga Roga kuwa amemnyang’anya tonge mdomo kabla ya kurudiana.

Tabia yake hiyo ya kupenda wanawake wenye misambwanda inaelezwa kuwa ndiyo humuingiza kwenye matatizo na mpenzi wake hilo, jambo ambalo linasemekana anajitakia mwenyewe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live