Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Mr. Ibu azikwa

Fahamu Chanzo Cha Kifo Cha Msanii Maarufu Wa Nigeria 'Mr. Ibu'.png Mr Ibu

Sat, 29 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji maarufu wa filamu kutoka nchini Nigeria, John Okafor (62) maarufu kama Mr Ibu hatimaye amezikwa jana Juni 28, 2024 katika mji aliozaliwa wa Amuri, Jimbo la Enugu.​

Mr Ibu alifariki dunia Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Evercare iliyopo nchini Nigeria ikiwa ni siku 118 toka alipofariki.

Kifo cha mwigizaji huyo kilitokana na matatizo yaliyotokana na kukatwa kwa moja ya miguu yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live