Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Eric Omondi aachiwa huru

Eric Omondiiii.jpeg Eric omondi

Mon, 21 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye Eric omondi ameachiwa huru na kudhitisha kupitia ukurasa wake wa instagram video ikimuonesha akipita katikati ya polisi na wameamua kumuacha , akiwa amevalia baibui jeusi ndani ya gari.

Hatimaye Eric omondi ameachiwa huru na kudhitisha kupitia ukurasa wake wa instagram video ikimuonesha akipita katikati ya polisi na wameamua kumuacha , akiwa amevalia baibui jeusi ndani ya gari. Akiwa kiongozi wa Gen-Z nchini kenya akiongoza maandamano ya kupinga maadhimio ya serikali ya Rais Rutto kuhusu kupanda kwa gharama za maisha pamoja na haki za waliopoteza maisha wakati wa maandamano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live