Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hatimaye Davido asalimu amri kwa Waislamu Nigeria (+Video)

Video Archive
Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye Msanii kutoka Nigeria Davido ameamua kuifuta tweet yke iliyokuwa ina-"promote" Video ya msanii kutoka katika Label yake ya Davido World Wide ambayo iliwaibua hasira waislamu kutoka Nigeria kutokana na matendo yaliowaonshwa waumini hao wakicheza mziki huku wamevaa kanzu.

Tangu Davido apost Video hiyo kuliibuka Presha kutoka pande mbalimbali zikikosoa Video hiyo ambayo bado haijatoka.

Sikiliza kwa makini video hii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live