Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize na Wolper kuitikisa Dar sikukuu ya Iddi Pili (+video)

Video Archive
Tue, 5 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize na aliyekuwa Girlfriend wake Jackline Wolper watakonga nyoyo za mashabiki wao kwa burudani katika sherehe za sikukuu ya Idd pili ambapo show yao wameiita KUSINIGHT na itafanyikia ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem.

Harmonize katikati kwenye picha

Kwenye show hiyo Wolper ndiye atakayekuwa MC huku Harmonize akitumbuiza jukwaani ambapo ameahidi kufanya show ya kipekee.

Akizungumzia kiingilio cha show hiyo bei ya juu itakuwa ni tsh 10,000 na kutakuwa na viingilio vya bei ya kawaida.



Loading...
Chanzo: bongo5.com