Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize kamuimba Sarah, amuomba msamaha afunguka "Nilizingua sana"

Video Archive
Wed, 21 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za star kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae time hii amemuimba aliekuwa mpenzi wake Sarah.Kupitia wimbo huo staa huyo ameonekana akimuomba msamaha kwa yale yaliyotokea katika uhusiano wao ikiwemo kuzaa na mwanamke mwingine pasipo ya yeye kufahamu.

NI Headlines za star kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae time hii amemuimba aliekuwa mpenzi wake Sarah.Kupitia wimbo huo staa huyo ameonekana akimuomba msamaha kwa yale yaliyotokea katika uhusiano wao ikiwemo kuzaa na mwanamke mwingine pasipo ya yeye kufahamu. Unaweza ukabonyeza play kufahamu alichoimba Harmonize kwa aliekuwa mkewe Sarah.

Chanzo: millardayo.com