Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize auvaa ugomvi wa Diamond na Kiba, aachia mkwaju huu (+Video)

Video Archive
Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya wiki kadhaa za mabishano kati ya Diamond na Ali Kiba wakigombea namba moja kutrend katika mtandao wa You Tube.

Leo Julai 21 Mkali mwingine kutoka kiwanda cha BongoFlavour Harmonize ameacia ngoma yake mpya "Miss Bantu" akiwa amemshirikisha Spice.

Je Harmonize ataweza kuwashusha wakali hao na kujikita namba moja?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live