Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize atajwa na Page maarufu Marekani (+Video)

Video Archive
Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku chache zilizipota Msanii wa Bongo Fleva Harmonize aliachia ngoma yake "Miss Bantu" akiwa amemshirikisha Spice Msanii kutoka Jamaica.

Siku chache zilizipota Msanii wa Bongo Fleva Harmonize aliachia ngoma yake "Miss Bantu" akiwa amemshirikisha Spice Msanii kutoka Jamaica. Sasa Story kubwa ni page moja kubwa ya Mmasuala ya burudani kutoka nchini Marekani inayoitwa "Daily Loud" wametweet kionjo kuhusiana na ngoma hiyo na kuamsha hisia za wengi kutokana na ukubwa na page hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live