Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize ajiachia na Poshy Queen

Poshy Na Harmonize Harmonize ajiachia na Poshy Queen

Sat, 13 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama ilivyo kawasaki yake, Harmonize ametrend na mtoto mzuri mjini Poshy Queen na kuibua maswali kwamba vipi ndio goma lake kwa sasa ama niaje.

Kipande cha video kimemwonesha Harmonize akiwa na mambo huyo kwenye boti wakijiachia huku mrembo akishushia na bia kali.

Harmonize amesesindikiza na ujumbe huu:

"TODAY WITH TANZANIA MOST TALKED ABOUT 2024 @poshyqueeen FORGET ABOUT THAT BIG SOUND WE ARE VIBING CAN I PUT HER ON 1 OF MY VIDEO ?? OR JUS MARRY HER KAMA WANAVYODHANIA."

Ikumbukwe Poshy ndiye alikuwa mpenzi wa DJ wa Harmonize, DJ Seven ambaye inasemekana wamemwagana. Hata hivyo Harmonize alikanusha kutembea na Poshy baada ya maneno kuzagaa kuwa wanegombana na DJ Seven kisa ikiwa ni mrembo huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live