Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize aipiga chini shoo ya Wasafi Festival, awapigia Promo (+Video)

Video Archive
Mon, 7 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya CEO wa Wasafi, Diamond Platnumz kusema kuwa angependa Harmonize awepo kwenye Show za Wasafi Mkoani Mtwara.

Hatimaye CEO wa Kondegang amejibu kupitria kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema kuwa suala hilo kamwe halitaweza kutokea.

Sikiliza Video kujua alichoandika Harmonize;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live