Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize: Baba Levo ni rafiki yangu

Harmonize Ataka Kuzichapa Na Baba Levo.png Harmonize: Baba Levo ni rafiki yangu

Thu, 11 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Staa wa Bongofleva Harmonize jana ametambulisha mchezo wake kubashiri alioupa jina la Bukua Milioni akisema una lengo la kuwasaidia Vijana wenzake wenye kipato cha chini kutimiza ndoto zao kwa kutoa zawadi za pikipiki na hela kwa watakaoshiriki michezo hiyo.

Msanii Staa wa Bongofleva Harmonize jana ametambulisha mchezo wake kubashiri alioupa jina la Bukua Milioni akisema una lengo la kuwasaidia Vijana wenzake wenye kipato cha chini kutimiza ndoto zao kwa kutoa zawadi za pikipiki na hela kwa watakaoshiriki michezo hiyo. Harmonize ameongea pia mambo mbalimbali ikiwemo ishu ya yeye kuwahi kugombana na Baba Levo Casino ambapo amesema Baba Levo ni Rafiki yake na hawana shida yoyote na kwamba hakuwahi kuongea chochote hapo awali kwakuwa yeye hapendi kuongeaongea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live