Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Harmonize Aanika Kila Kitu Kuhusu WCB, Avujisha Sauti ya Rayvanny - Video

Video Archive
Thu, 18 Nov 2021 Chanzo: Global TV Online

MSANII wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya Konde Gang, Harmonize amerejea Tanzania akitokea Marekani alipokuwa kwa Zaidi ya miezi mitatu kwenye Tour ya shows zake na ametumia Zaidi ya lisaa limoja na nusu kuzungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na Sakata lake na Wasafi.

MSANII wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya Konde Gang, Harmonize amerejea Tanzania akitokea Marekani alipokuwa kwa Zaidi ya miezi mitatu kwenye Tour ya shows zake na ametumia Zaidi ya lisaa limoja na nusu kuzungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na Sakata lake na Wasafi. "Naonekana mbaya siku zote lakini kuna mambo mengi yameendelea hapo awali kwangu lakini nimeyanyamazia tu hizi ni voice za Rayvanny akizungumza vibaya kuhusu situation ya label miaka mitano iliyopita," amesema Harmonize.

Chanzo: Global TV Online