Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gigy Money afunguka kulishana keki kwa mdomo na Wema (+Video)

Video Archive
Tue, 21 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Gigy Money amejibu kuhusu gumzo lake la kulishana keki mdomo kwa mdomo na baadhi ya mastaa walio-show love kwenye 'Birthday Party' yake kama Wema Sepetu, Lulu Diva, Amber Lulu na Mimi Mars.

Gigy Money amejibu kuhusu gumzo lake la kulishana keki mdomo kwa mdomo na baadhi ya mastaa walio-show love kwenye 'Birthday Party' yake kama Wema Sepetu, Lulu Diva, Amber Lulu na Mimi Mars. Gigy Money amesema amefanya hivyo kwa sababu stick zilikuwa zimeisha pia kitendo hicho ni ishara ya upendo. 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live