Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Gavi alivyomkataa mtoto wa Mfalume

Princess Leonor Gavi (1) Gavi alivyomkataa mtoto wa Mfalume

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pichani ni Mchezaji wa Klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania, Gavi akiwa na Mtoto wa Mfalme wa Hispania Princess Leonor.

Mtoto wa mfalume wa Hispania, princess Leonor anampenda sana mchezaji wa Barcelona, Gavi.

Akiwa shule Huwa anapenda kuweka picha ya Gavi akiwa kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatari mwaka 2022 kwenye jalada la daftari lake la shule.

Mfalme Philippe siku Moja alimwomba Gavi asaini jezi ya Barcelona lakini ukiiangalia kwa makini ukubwa wa jezi ni mdogo sana hivyo hakuna shaka kuwa zawadi hiyo ilikuwa imekusudiwa kwa princess.

Chanzo Cha karibu na kiti cha enzi kinaeleza kuwa anatazamia kwa hamu kukutana na Gavi.

Jambo hili linamwacha katika mkwamo mkubwa Gavi, iwe yeye anapendana na princess wa Kihispania na kuwa mrithi wa kiti cha enzi au abaki kama mchezaji wa mpira wa miguu.

Hata hivyo, kulingana na desturi na sheria za familia ya kifalme, ikiwa Gavi na Leonor watakuwa wapenzi, mchezaji atalazimika kusitisha kazi yake ya mpira wa miguu ili kujiunga na familia ya kifalme ya Kihispania.

Gavi ameamua kuachana naye anaendelea na Maisha yake ya Soka kwenye klabu yake ya Barcelona.

Ungekuwa wewe ni mshauri wa Gavi unhemshauri Nini.Abaki kwenye soka au awe sehemu ya Familya ya Kifalume.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live