Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fally Ipupa mbele ya waandishi awataja Diamond, Alikiba, ampamba Barnaba (video+)

Video Archive
Fri, 8 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Msanii wa muziki kutokea D.R.C Congo, Fally Ipupa time hii amekutana na waandishi wa habari kuzungumzia show yake inayotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi Mlimani Hall Dar es Salaam.

Msanii wa muziki kutokea D.R.C Congo, Fally Ipupa time hii amekutana na waandishi wa habari kuzungumzia show yake inayotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi Mlimani Hall Dar es Salaam. Katika video hii amewataja wasanii wanaotokea katika tasnia ya Bongo Fleva anaowakubali akiwemo Vanessa Mdee, Diamond Platnumz, Alikiba, Barnaba, Christian Bella.

Chanzo: millardayo.com