Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Exclusive:Safari ya muziki wa Saraphina, kuimba na kulipwa Elfu 20 (video+)

Video Archive
Fri, 1 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Mfahamu msanii Saraphina anayefanya vizuri kwa upande wa wasanii wa kike ambae kwasasa tayari amepata nafasi ya kuperform kwenye matukio makubwa likiwemo la Simba Day na hata kwenye show ya Nandy Festival Dar.

Mfahamu msanii Saraphina anayefanya vizuri kwa upande wa wasanii wa kike ambae kwasasa tayari amepata nafasi ya kuperform kwenye matukio makubwa likiwemo la Simba Day na hata kwenye show ya Nandy Festival Dar. Sara aliyeng’ara kupitia shindano la Bongo Star Search  na kisha baadae kupata shavu la kurekodi  Jingle ya Clouds FM, sasa time hii amekaa kwenye Ayo TV & Millardayo.com kafunguka mengi zaidi.

Chanzo: millardayo.com