Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Exclusive: Mtanzania ‘Emanuel Austin’ ashindwa kuvumilia, amtaja mmiliki wa chuo cha Ujerumani (+Audio)

Video Archive
Wed, 7 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mtanzania ambaye ni mwalimu wa dansi (Choreographer) nchini Ujerumani, Emanuel Austin amefunguka kuhusu mmiliki halali wa chuo cha cha dansi kilichopo mjini Frankfurt ambacho kimekuwa kikiibua maswali mengi.



Akiongea na Bongo5, Austin amesema kuwa chuo hiko kipo kwa takribani miaka 60 iliyopita na wao wamekuwa walimu hapo kwa miaka kama 10 lakini walifanikiwa kukinunua chuo hiko.

Austin ambaye pia ni msanii wa muziki, amesema kwa sasa yeye na mke wake Larissa Bertsch ndio wamiliki halali wa chuo hiko.



Katika kuthibitisha hilo, msanii huyo ametuma kipande cha gazeti kubwa nchini Ujerumani liitwalo Offenbach Post, akionyesha moja ya stori ambazo zimewahi kuandikwa kuhusu chuo hiko.

Chanzo: bongo5.com