Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

'Electric Eel' Samati anayetengeneza umeme mpaka Volt 500

ElectricEel1 3x2 'Electric Eel' Samati anayetengeneza umeme mpaka Volt 500

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Samaki anayejulikana kwa jina la kingereza 'Electric Eel' anayepatikana katika mto wa Amazon Barani Amerika Kusini, ni moja ya samaki wenye uwezo wa kuzalisha nguvu ya umeme kwa mwili wake.

Samaki huyo ana uwezo wa kuzalisha nguvu ya umeme inayofikia Volt 500 ikiwa ni mara mbili ya umeme wa majumbani ambao ni Volt 240.

Umeme unaozalishwa na Samaki huyo unaweza kuua viumbe mbalimbali kama binadamu na hata mamba.

Samaki huyo hutumia nguvu hiyo kama silaha yake ya kujilinda dhidi ya maadui na vilevile kujipatia chakula kama samaki wenzake na wadudu wengine wa majini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live