KILA ifikapo Desemba 02, mtoto wa marehemu Amina Chifupa na Mohamed Mpakanjia, anayefahamika kwa jina la Abdulrahman, anasheherekea siku yake ya kuzaliwa, ambapo kwa mwaka huu ameadhimisha siku hiyo kwa namna tofauti akiwa nyumbani ambapo amefanya mazungumzo na Global TV na kuelezea anachokikumbuka kutoka kwa wazazi wake kila inapofika siku hiyo.
KILA ifikapo Desemba 02, mtoto wa marehemu Amina Chifupa na Mohamed Mpakanjia, anayefahamika kwa jina la Abdulrahman, anasheherekea siku yake ya kuzaliwa, ambapo kwa mwaka huu ameadhimisha siku hiyo kwa namna tofauti akiwa nyumbani ambapo amefanya mazungumzo na Global TV na kuelezea anachokikumbuka kutoka kwa wazazi wake kila inapofika siku hiyo. Abdulrahman amesema katika maisha yake, anatamani siku moja aje kuliongoza Taifa la Tanzania akiwa kama Rais wa nchi kwani anapenda alichokuwa akikifanya mama yake (ubunge) enzi za uhai wake.