Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dully Sykes amjibu Harmonize "siwezi kuwa mpumbavu" (+video)

Video Archive
Mon, 29 Nov 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwimbaji Mkongwe wa Bongofleva Dully Sykes ameuvunja ukimya na kuongea kwa ufupi kuhusu shutuma zilizotolewa na Mwimbaji Harmonize dhidi yake alipotoka Marekani juzi kati, kwenye hii Exclusive Interview na Millard Ayo, Dully ameitumia kueleza mengi ikiwemo tuhuma za kutumwa na WCB.

Chanzo: millardayo.com