Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond kuachia video ya Komasava usiku

Diamond Komasava S Diamond kuachia video ya Komasava usiku

Thu, 25 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Kusubiriwa kwa hamu kubwa hatimaye Mwanamuziki @diamondplatnumz ametangaza kuachia Video ya wimbo wake "Komasava " usiku wa Leo saa 6 kuamkia kesho.

Baada ya Kusubiriwa kwa hamu kubwa hatimaye Mwanamuziki @diamondplatnumz ametangaza kuachia Video ya wimbo wake "Komasava " usiku wa Leo saa 6 kuamkia kesho. Komasava ni Wimbo unaofanya vizuri kwa Sasa duniani huku Challenge ya Wimbo huo ikichezwa na Mastaa mbalimbali Ulimwenguni ikiwemo Chris Brown na Jana @jasonderulo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live