Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond atimba Elements na Baiskeli

Video Archive
Sat, 14 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika tukio la Romy Jones Element Masaki wengi walitarajia kumuona Diamond na magari yake ya Kifahari yakiwemo Rolls Royce au Escallade lakini wapi jamaa ametimba na Baiskeli.

Tukio hilo limewaacha wengi midomo wazi, kuja na Baiskeli Element sio hilo kubwa zaidi ni kuvaa mask kama ya muigizaji maarufu kutoka Marekani aliyeigiza movie ya American Ninja.

Katika ujio huo Mwanamuziki huyo aliongpozana na Dj maarufu Romy Jones ambae anasherehekea Birthday yake siku ya jumatatu tar 16,lakini kwa mujibu wake shamra zinaanza leo mpaka tareh 29.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live