Menu ›
Burudani
Wed, 16 Aug 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
CEO wa WCB, Diamond Platnumz ameachia wimbo mpya akiwa na Koffi Olomide, ngoma ambayo ameipa jina la #Chii.
Ikumbukwe kuwa, Diamond alishawahi kufanya ngoma nyingine na Koffi aliyoipa jina la Waah ambayo ilitesa vibaya mitandaoni.
Unaipa asilimia ngapi ngoma hii kati ya 100%?
Chanzo: www.tanzaniaweb.live