Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond aachia Video ya Mapozi, itazame hapa, nani kamfunika mwenzake?

Video Archive
Wed, 7 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameachia Video ya wimbo wake mpya Mapozi leo Februari 7.

Katika Ngoma hiyo Diamond amewashirikisha Mr Blue na Dogo anaefanya vyema kwa sasa Jay Melody.

Itazame Ngoma hiyo kisha utupe maoni yako ni nani amefanya vyema kuliko mwengine?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live