Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond aachia Video mpya, itazame hapa (+Video)

Video Archive
Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa Lebo ya Wasafi na Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz maarufu kama Simba leo Agosti 16 ameachia Video ya Wimbo wake "Chii" akiwa na nguli wa muziki toka Afrika Koffi Olomide "Mopao"

CEO wa Lebo ya Wasafi na Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz maarufu kama Simba leo Agosti 16 ameachia Video ya Wimbo wake "Chii" akiwa na nguli wa muziki toka Afrika Koffi Olomide "Mopao" Hii inakuwa Ngoma ya pili kushirikiana baina ya wawili hao baada ya ile ya awali ilikwenda kwa jina la "Waah" iliyotoka miaka miwili iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live