Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond Platnumz awapa onyo watoto wake wa kiume

Video Archive
Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa onyo kali kwa vijana wake wa kiume Nilan na Daylan kwa kuwata asiwaletee wakwe vijuso.

Diamond katoa rai hiyo kwa watoto wake hao  ambao amezaa na wanawake  wawili tofauti ambao ni Zarina Hassan maarufu kama Zari The Boss Lady, na Daylan (AbdulLatif) aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

-Record Label -Wasafi Records -Diamond Karanga -Chibu Perfumes WasafiDotCom -Wasafi Studios -Wasafi Tv -Wasafi Fm Pamoja na Uzuri Mliorithi toka kwa Mama zenu halaf Mkaenda kuniletea Wakwe Vijuso….Dah Mtanisikitisha sana…

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on



Ikiwa bado siku moja iwe siku ya Wapenda( Valentine Day) Diamond na Hamisa walifikia makubaliano ya kumlea na kumuhuduamia mtoto wao wa kiume Dalyna, huku siku ya  Valentine iligeuka mbawa kwa Diamond baada ya kumwaga rasmi na Zari The Boss Lady chanzo kikwa ni kutokuwa muwaminifu katika mapenzi yao.

Chanzo: bongo5.com