Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond: Kila Mkoa wanatamani kuwa na mbunge kama Tulia

Damond X Tulia Ackson Diamond: Kila Mkoa wanatamani kuwa na mbunge kama Tulia

Thu, 17 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Diamond Platnumz amewataka wananchi wa Mbeya kutembea kifua mbele kwa kuwa walimchagua Spika wa Bunge la Tanzania [email protected].

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, @diamondplatnumz ameandika,

“Wana Mbeya mnatakiwa mtembee kifua mbele kwa kuwa mlichagua Jembe, Tulia Ackson ni Jembe ambalo kama hamjui kila mkoa unatamani angekuwa mbunge wao.

“Picha linaanza yeye ndio Rais wa Wabunge wote duniani. Yani Wazungu, Waarabu, Wahindi, Wachina, Wabunge wote unaowajua wewe duniani yeye ndio Rais wao. Tusikubali kulipotez hili Jembe!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live